Friday, May 7, 2010
Tuesday, April 6, 2010
Tuesday, March 23, 2010
Friday, March 19, 2010
Tuesday, March 9, 2010
MAKUBWAAA
YALAHHHH!
Siku chache zilizopita nimesoma gazeti moja linaloeleza kuwa Condom mahususi kabisa kwa ajili ya watoto zipo madukani tayari kabisa kwa matumizi. Ki ukweli nimeshtuka si kidogo na kujiuliza., Hivi ngono ni muhimu kiasi hiki hata kwa watoto? Ukiuliza kwa nini utaambiwa Ukimwi hauna mipaka. Wewe unafikiri nini kuhusu suala hili?

SIKU HIZI……………,
Ukifanya jaribio dogo tu la kupita mtaani kwenu, sehemu wanapojikusanya watoto wakiwa wanacheza au wakiwa wamechill tu ukawauliza wanataka kuwa nani hapo baadae, majibu utakayopata 90% yatakuwa ‘nataka kuwa mwanamuziki, model, muigizaji, mtangazaji wa TV au redio au footballer kama Drogba wengine watakuambia ni akina Serena Williams wa baadae. Si mbaya ni poa tu. Ukikutana na mtoto atakaye kuambia anataka kuwa mwanasayansi ni asilimia moja kama sio sifuri. Kwa mtindo huu Tz si tumeshaingia ubia maisha yetu yote na China?

Saturday, March 6, 2010

The child of Africa project is the planned development strategies dedicated to the children of Africa continent especially from East and Central Africa that have stolen our hearts and passion. These children are priceless gifts that we have the privilege of being trusted with caring for, encouraging, growing and loving. We need these children as much if not more than they need us, as we learn to love, their lives and needs help from us to grow. But they do have many needs that we are bound as good stewards in this world by love to meet, called with joy to feed, with hope to teach and with faith to clothe and house. The project is based in Tanzania.
Subscribe to:
Posts (Atom)