Tuesday, March 9, 2010

MAKUBWAAA

YALAHHHH!
Siku chache zilizopita nimesoma gazeti moja linaloeleza kuwa Condom mahususi kabisa kwa ajili ya watoto zipo madukani tayari kabisa kwa matumizi. Ki ukweli nimeshtuka si kidogo na kujiuliza., Hivi ngono ni muhimu kiasi hiki hata kwa watoto? Ukiuliza kwa nini utaambiwa Ukimwi hauna mipaka. Wewe unafikiri nini kuhusu suala hili?

1 comment:

  1. Kwa kweli mdogo wangu Abby, kama hii ipo basi nadhani ndiyo tunangonelea msumari wa mwisho lile jeneza la maadili na kuyazika jumla.. hebu scan hicho kipande cha gazeti u post ili wadau wakione..

    ReplyDelete